Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 1 · Kiswahili

4.1 Siku Saba za Wiki

Mada ya 4.0 Siku za wiki

Wiki ina siku saba.

Siku hizo ni:

1. Jumatatu.

2. Jumanne.

3. Jumatano.

4. Alhamisi.

5. Ijumaa.

6. Jumamosi.

7. Jumapili.