Mwili wa binadamu una sehemu mbalimbali.
Mifano:
• Kichwa.
• Macho.
• Masikio.
• Pua.
• Mdomo.
• Mikono.
• Miguu.
• Vidole.
• Magoti.
• Nywele.
Mada ya 6.0 Mwili wangu
Mwili wa binadamu una sehemu mbalimbali.
Mifano:
• Kichwa.
• Macho.
• Masikio.
• Pua.
• Mdomo.
• Mikono.
• Miguu.
• Vidole.
• Magoti.
• Nywele.