Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 1 · Kiswahili

6.2 Matumizi ya Sehemu za Mwili

Mada ya 6.0 Mwili wangu

Tunatumia macho kuona.

Tunatumia masikio kusikia.

Tunatumia pua kunusa.

Tunatumia miguu kutembea.

Tunatumia mikono kushika vitu.