Mada ya 7.0 Usafi wa mwili
Usafi ni hali ya kuweka mwili na mazingira katika hali safi.
Tunapaswa kutunza usafi kila siku.