Maagizo ni maneno yanayotuambia jambo la kufanya.
Mifano ya Maagizo
Simama.
Keti.
Andika.
Chora.
Soma.
Nawa mikono.
Funga kitabu.
Kufuata Maagizo
Tunapaswa kufuata maagizo mazuri na salama.
Tusifuate maagizo yanayoweza kutudhuru.
Mada ya 7.0 Usafi wa mwili