Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 1 · Kiswahili

10.4 Matamshi Bora

Mada ya 10.0 Michezo

Tamka sauti hizi:

/ny/, /dh/, /th/, /ch/, /gh/, /ng/, /ng’/.

Mifano ya Maneno

Nyanya.

Dhahabu.

Theluji.

Chai.

Ghali.

Ngoma.

Ng'ombe.