Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 1 · Kiswahili

10.5 Vinyume vya Vitendo

Mada ya 10.0 Michezo

Kinyume ni neno lenye maana inayopingana na neno jingine.

Kitendo

Kinyume

Lala

Amka

Keti

Simama

Cheka

Lia

Enda

Rudi

Panda

Shuka