Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 1 · Kiswahili

2.3 Kusoma Kifungu

Mada ya 2.0 Familia

Familia Yangu

Mimi ni Asha.

Ninaishi na familia yangu.

Tunapendana.

Tunasaidiana nyumbani.