Familia ni watu wenye uhusiano au wanaotunzana.
Wanafamilia wanaweza kuwa:
• Mama.
• Baba.
• Dada.
• Kaka.
• Bibi.
• Babu.
• Mlezi.
Mada ya 2.0 Familia
Familia ni watu wenye uhusiano au wanaotunzana.
Wanafamilia wanaweza kuwa:
• Mama.
• Baba.
• Dada.
• Kaka.
• Bibi.
• Babu.
• Mlezi.