Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 1 · Kiswahili

3.1 Maana ya Tarakimu

Mada ya 3.0 Tarakimu

Tarakimu hutumiwa kuonyesha idadi.

Tunatumia tarakimu kuhesabu vitu.

Tarakimu Moja hadi Kumi

Tarakimu

Jina

1

Moja

2

Mbili

3

Tatu

4

Nne

5

Tano

6

Sita

7

Saba

8

Nane

9

Tisa

10

Kumi