Wenzetu ni watu tunaosoma, kucheza au kushirikiana nao.
Tunapaswa kuwaheshimu wengine.
Tabia Njema kwa Wenzetu
• Kusalimiana.
• Kusaidiana.
• Kushirikiana.
• Kusikilizana.
• Kusema ukweli.
• Kutopigana.
Mada ya 5.0 Mimi na wenzangu
Wenzetu ni watu tunaosoma, kucheza au kushirikiana nao.
Tunapaswa kuwaheshimu wengine.
Tabia Njema kwa Wenzetu
• Kusalimiana.
• Kusaidiana.
• Kushirikiana.
• Kusikilizana.
• Kusema ukweli.
• Kutopigana.