Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 8 · Kiswahili

15.1 Kusikiliza na Kuzungumza: Usikilizaji Husishi

Mada 15.0 Maadili ya kijamii

Usikilizaji husishi (tayari umeelezwa katika mada 7). Hapa tunajikita katika maadili ya kijamii: kusikiliza kwa heshima, kuepuka hukumu za haraka, kuthamini maoni ya wengine.

Mazoezi:

  • Igiza kikao cha baraza la shule ambapo wanafunzi wanajadili maadili kama uwajibikaji, usawa, na kusaidiana.
  • Sikiliza mwenzake akielezea mtazamo wake kuhusu umuhimu wa kuheshimu wazee. Uelewe hisia zake na ujibu kwa heshima.
  • Jadili jinsi usikilizaji husishi unavyochangia amani na mshikamano katika jamii.