Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 9 · Kiswahili

12.2 Kusoma: Kusoma kwa Ufasaha

Maelezo kwa mada · Mada 12.0 Magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha

Kusoma kwa ufasaha kwa kasi ya maneno 115 kwa dakika, matamshi bora, sauti ifaayo, na ishara.

Mazoezi:

  • Soma kifungu kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha (k.m. ugonjwa wa moyo). Tumia kipima muda kuangalia kasi.
  • Rekodi na usikilize ili kusahihisha matamshi.