Maelezo ya Kiswahili Gredi ya 9
40 topics · Additional notes and practice
Search results
Mhimili wa 1 Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kuzungumza ni stadi muhimu za mawasiliano. Humwezesha mwanafunzi kupokea ujumbe, kuuelewa, kuuchanganua na kutoa mawazo yake kwa ufasaha.
- 1.1 Kusikiliza na Kujibu Mjadala
- 1.2 Kusikiliza kwa Kina: Sauti /b/ na /mb/
- 1.3 Semi
- 1.4 Ufahamu wa Kusikiliza
- 1.5 Kusikiliza kwa Kufasiri
- 1.6 Kusikiliza kwa Kutathmini
- 1.7 Uzungumzaji wa Kushawishi
- 1.8 Kusikiliza kwa Kina: Sauti /j/ na /nj/
- 1.9 Mazungumzo: Malumbano ya Utani
- 1.10 Ufahamu wa Kusikiliza: Matini ya Kusikiliza
- 1.11 Mazungumzo: Mawaidha
Mhimili wa 2 Kusoma

makinischool.ac.ke
Kusoma ni stadi ya kutambua maandishi, kuelewa maana yake, kuchanganua ujumbe na kutumia maarifa yanayopatikana.
- 2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi
- 2.2 Kusoma kwa Mapana: Matini za Kujichagulia
- 2.3 Kusoma kwa Kina: Ushairi
- 2.4 Kusoma kwa Ufasaha
- 2.5 Kusoma kwa Ufahamu
- 2.6 Ufupisho
- 2.7 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
- 2.8 Kusoma kwa Kina: Ushairi na Mbinu za Lugha
- 2.9 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Mjadala
Mhimili wa 3 Kuandika

thekenyatimes.com
Kuandika ni stadi ya kuwasilisha habari, mawazo, hisia na hoja kwa kutumia maandishi. Uandishi bora huzingatia sarufi, tahajia, viakifishi, muundo, mtiririko wa mawazo na matumizi sahihi ya lugha.
Mhimili wa 4 Sarufi
Sarufi ni kanuni zinazotawala muundo, mpangilio na matumizi sahihi ya lugha.
Katika Gredi ya 9, mwanafunzi hujifunza vihusishi, nyakati na hali, vielezi, ngeli, sentensi, ukanushaji, udogo na ukubwa wa nomino pamoja na usemi halisi na usemi wa taarifa.