Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 9 · Kiswahili

6.2 Kusoma: Kusoma kwa Kina – Ushairi (Maudhui na Dhamira)

Maelezo kwa mada · Mada 6.0 Usalama barabarani

Maudhui ni mada anayozungumzia mshairi (k.m. usalama barabarani, ajali, ukiukaji wa sheria).

Dhamira ni lengo au ujumbe wa mshairi (k.m. "Tunapaswa kuwa waangalifu barabarani" au "Watu wavunje sheria wanahatarisha maisha").

Mazoezi:

  • Soma shairi (kutoka diwani) linalozungumzia ajali au usalama. Tambua maudhui (mada kuu).
  • Eleza dhamira ya shairi (mshairi anataka kufundisha nini?).
  • Andika muhtasari wa shairi kwa sentensi tatu ukizingatia maudhui na dhamira.