Andika sentensi hizi:
1. Hujambo, mwalimu?
2. Sijambo, asante.
3. Darasa letu ni safi.

Picha 1.1: Weka picha ya wanafunzi wawili wakisalimiana darasani. Weka pia picha ya mwalimu anayesalimiwa na mwanafunzi.
Zoezi la 1
1. Unamjibuje mtu anayekuuliza "Hujambo?"
2. Andika maneno mawili ya kuagana.
3. Taja vitu vitatu vinavyopatikana darasani.
4. Jaza pengo: Habari? ______.