Mada ya 8.0 Vyakula vyetu
Chakula ni kitu tunachokula ili kuupa mwili nguvu na virutubisho.
Tunapaswa kula vyakula mbalimbali.