Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 1 · Kiswahili

9.3 Matumizi ya Vitu

Mada ya 9.0 Jikoni

Tunatumia sufuria kupikia.

Tunatumia sahani kuweka chakula.

Tunatumia kikombe kunywea.

Tunatumia kijiko kula au kuchota chakula.