Mada ya 9.0 Jikoni
Mama: Amina, leta kikombe tafadhali.
Amina: Hiki hapa, mama.
Mama: Asante.
Amina: Karibu.