Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 9 · Kiswahili

11.2 Kusoma: Kusoma kwa Mapana – Matini ya Kujichagulia

Maelezo kwa mada · Mada 11.0 Haki za kibinadamu

Wanafunzi wanahimizwa kuchagua matini (makala, hadithi, gazeti) zinazohusu haki za binadamu (k.m. haki ya elimu, ulinzi dhidi ya ukatili). Kusoma kwa mapana kunapanua ufahamu.

Mazoezi:

  • Kila mwanafunzi achague makala fupi kuhusu haki za watoto (kutoka mtandao au gazeti). Aisome kisha aandike muhtasari.
  • Jadili maswali: Je, haki hizo zinatekelezwa katika jamii yako? Kuna changamoto gani?