Teacher Boen Resource Library · Kenya CBC/CBE
Grade 9 · Kiswahili

15.2 Kusoma: Ufupisho

Maelezo kwa mada · Mada 15.0 Maadili ya kitaifa

(Rudia mada 7 na 12. Wanafunzi wafupishe makala kuhusu maadili ya kitaifa.)

Mazoezi:

  • Soma makala kuhusu maadili ya uongozi. Fupisha katika aya moja (sentensi 4-6).
  • Linganisha ufupisho wako na wa mwenzako.